JE UTAJUAJE KUWA MWANAMKE AMEFIKA KILELENI???
Watu wengi wanahisi wamefika kileleni kumbe hata njia ya kuelekea kileleni bado hawajaiona, mara nyingi huwa wanafeki kwa kuongeza kelele za kimahaba au wengine huwa wanaongea kabisa, Zifuatazo ni dalili za mwanamke anayefika kileleni.. 1. MISULI YA UKE WAKE ITAKUWA INAKAZA NA KUACHIA: Akiwa anakaribia kufika kileleni,kwa ile raha atakayokuwa anasikia automatically na hatoweza kujizuia,atajikuta misuli ya uke wake inakaza na kuachia,itaanza taratibu lakini kadri anavyokaribia kufika kileleni na speed ya kukaza na kuachia kwa misuli ya uke wake itakuwa inaongezeka. Ninaposema misuli ya uke wake itakuwa inakaza na kuachia,namaanisha mashine yako ikiwa ndani ya uke wake,akiwa anakaribia kufika kileleni,utaanza kuhisi uke wake unaibana mashine yako kwa sekunde kadhaa kisha inaachia. (Kitendo cha uke wake kuibana na kuiachia machine kitaendelea kwa kujirudia rudia mpaka afike kileleni) 2. UKE WAKE UTAZIDI KULOA AU ATASQUIT: Kwa maana ambayo haipo complicated sana,kusquit ni...