FAIDA ZA VITUNGUU SWAUMU KATIKA MWILI WA BINADAMU.
Watu wengi imezoeleka kitunguu SWAUMU kutumika Kama kiungo cha mboga lakini wamekua hawajui matumizi mengine ikiwemo katika Tina asili.
Zifuatazo ni FAIDA kutumika kitunguu SWAUMU katika mwili wa binadamu.
1.Husaidia kutibu mchafuko wa tumbo pamoja kutibu minyoo mbalimbali ikiwemo minyoo ya amoeba .
2.husaidia kupunguza gesi katika tumbo .hii humsaidia mtu endapo amevimbiwa saana ,Kwa kufanyia haya ,kubonda bonda kitunguu na mgonjwa kukitumia.
3.pia huondoa mabaka katika ngozi ,chunusi .endapo mgonjwa atatumia ndani ya siku tatu mabaka pamoja na chunusi hupata kuondoka Kwa haraka.
4.husaidia kutibu MBA kichwani .watu wengi wamekuwa wakiteseka juu ya MBA kichwani suluhisho ni kitunguu SWAUMU.mtumiaji atahitajika atwange ndipo akitumie.
Ni muhimu saana kuyajua
ReplyDelete